The House of Favourite Newspapers

#GlobalNews: Polisi Waondoka Kituoni na Tundu Lissu

0
Tundu Lissu.

Mbunge wa Singida Mashariki ambaye pia ni Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu aliyekamatwa na polisi jana jioni katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam akijiandaa kuelekea Rwanda, anaendelea kushikiliwa na jeshi hilo.

 

Taarifa ambayo imetolewa mchana huu na Ofisa Habari wa CHADEMA ni kwamba, polisi wamemchukua Tundu Lissu kutoka Kituo Kikuu cha Polisi Dar, na wameelekea nyumbani kwake kwa ajili ya upekuzi.

Leave A Reply