The House of Favourite Newspapers

Gor Mahia Yavunja Mkataba na Kocha Wake

0

MABINGWA wa Ligi Kuu ya Kenya Gor Mahia wameachana na kocha Steven Polack.

 

Polack aliiandikia barua klabu  hiyo akielezea kwamba kuporomoka kwa uchumi kumeathiri sana timu na biashara kote ulimwenguni na ndiyo sababu yake ya kuamua kuondoka.

 

“Klabu na mimi tumefikia makubaliano ya pamoja kumaliza mkataba wangu kutokana na mtikisiko wa uchumi na janga la Corona ambalo haliathiri Gor Mahia tu bali pia vilabu vingine na wafanyabiashara kote ulimwenguni,” ilisema barua ya Polack.

 

Leave A Reply