Manara Afunga Ndoa Na Zaiylissa – Video Yao Wakifunga Ndoa Yavuja – Tazama Ilivyokuwa
Haji Manara pamoja na staa wa Bongo Movie @zaiylissa wamefunga ndoa ya kimyakimya.
Ndoa hiyo imejulikana kupitia Instagram baada ya @hajismanara kupost picha ya ndoa yao.