Halima Mdee Avuruga Tena, Amtetea Diamond, Roma – Video

MBUNGE wa Kawe (Chadema) Halima Mdee amesimama Bungeni na kuwatetea wasanii kutokana na sheria zilizowekwa na Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) zinazoelekeza jinsi ya kuwaadhibu pale wanapokwenda kinyume na sheria.

VIDEO: MSIKIE MDEE AKIFUNGUKA

Loading...

Toa comment