Hamisa atamani kuolewa

SIKU hizi ndoa ni shughuli pevu jamani! Hilo limejidhihirisha kwa mwanamitindo na mwanamuziki wa Bongo Fleva, Hamisa Mobetto ambaye ameeleza kutamani kuolewa ili kushuhudia utamu wake. Akibonga na Shusha Pumzi, Hamisa alisema hakuna mwanamke yeyote anayetaka kuzeeka bila kuingia kwenye ndoa kwa sababu ni kitu ambacho kipo tangu enzi za mababu na siku zote heshima ya mwanamke ni ndoa.

“Sidhani kama kuna mwanamke ambaye hajaingia kwenye ndoa ambaye hatamani kuingia, kwa upande wangu kwa vile sijaingia kwa kweli natamani sana kuwa na ndoa ili niwe na mume ninayemmiliki,” alisema Hamisa huku akisisitiza kila mwanamke anahitaji

Stori: Imelda Mtema


Loading...

Toa comment