The House of Favourite Newspapers

Hamsa Mia – Prezzo X Dogo Janja (Official Video)

WASANII Prezzo wa Kenya na Dogo Janja wameachia video ya wimbo wao mpya uitwao Hamsa Mia. Audio ya ngoma hiyo imetengenezwa na maproducer Daxo Chalii na Marco Chalii wa Studio za Mj Records huku video ikitengenezwa na director Msafiri wa Kwetu Studio.

Hamsa Mia – Prezzo X Dogo janja (Official Video)

Comments are closed.