Hamsa Mia – Prezzo X Dogo janja (Official Video)
Msanii Prezoo kutoka nchini Kenya na Dogo Janja wameachia ngoma mpya ‘Hamsa Mia’ ngoma hiyo Audio imetengenezwa na Daxo Chalii & Marco Chalii studio ya Mj records na Video ni Msafiri kutoka Kwetu Studio.
Comments are closed.