“Handsome Boy” Apewa Kichapo Kikali Akidaiwa Kuiba Simu-Video
Kijana mmoja anayefahamika kwa jina la Ibrahim kutoka ilala jijini Dar es salam, amejikuta kwenye mikono ya raia wenye hasira kali baada ya kupokea kichapo kikali chanzo kinaelezwa kuwa ni mwizi wa simu, Kamanda wa polisi aeleza….