Happy Birthday Edwin Lindege
Keki maalum iliyoandaliwa kwa ajili ya Birthday hiyo. Zoezi la kuwasha mshumaa likifanyika.Msanifu Kurasa wa Globa Publishers, Glory akimsaidia Edwin kukata keki.
Edwin Lindege (kushoto) akimlisha keki Mkuu wa Idara ya IT ya wa Global Publisher, Clarence Mulisa.
Picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Global Publishers …Akimlisha keki mfanyakazi mwenzake, Miss Joyce
WAFANYAKAZI wa Global Publishers Ltd wanamtakia heri na baraka mfanyakazi mwenzao Mtaalam wa Mifumo ya Kompyuta (IT Expert), Edwin Lindege kwa kutimiza miaka kadhaa leo. Happy Birthday to you Edwin na Mungu azidi kukubariki uweze kutimiza malengo yako na ya kampuni kwa ujumla.