The House of Favourite Newspapers

Happy Birthday Irene Uwoya!

LEO Desemba 18, 2020 ni siku muhimu sana kwa staa wa filamu BongoIrene Uwoya ambapo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa. Hivyo, Global Digital tunakutakia heri ya kuzaliwa.

 

Tunatambua mchango wako ni mkubwa sana kwa website na mitandao yetu ya Global Publishers Ltd na Tanzania kwa ujumla, hivyo tunakuombea miaka mingi zaidi, Mwenyezi Mungu akulinde, kukuongoza na kukupa nguvu zaidi ya kulifikisha taifa hili mbali.

Happy Birthday Irene Uwoya!

Comments are closed.