Happy Birthday Jacqueline Wolper

Staa wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper.

LEO ni siku muhimu sana kwa staa wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper  ambapo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa.Hivyo, Global Digital tunakutakia heri ya kuzaliwa.

 

Tunatambua mchango wako ni mkubwa sana kwa website na mitandao yetu ya Global Publishers Ltd na Tanzania kwa ujumla, hivyo tunakuombea miaka mingi zaidi, Mwenyezi Mungu akulinde, kukuongoza na kukupa nguvu zaidi ya kulifikisha taifa hili mbali.

Happy Birthday Jacqueline Wolper!

Toa comment