Video Queen mwenye figa matata, Asha Salum ‘Kidoa’.
LEO ni siku muhimu sana kwa Video Queen mwenye figa matata, Asha Salum ‘Kidoa’ ambapo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa. Kitengo cha Global Digtal tunakutakia heri ya kuzaliwa.
Tunakuombea miaka mingi zaidi, Mwenyezi Mungu akulinde, kukuongoza na kukupa nguvu zaidi ya kulifikisha taifa hili mbali.
Happy Birthday Kidoa Salum!