The House of Favourite Newspapers

‘HEPI BETHIDEI’ RAIS FELIX TSHISEKEDI

RAIS John Magufuli jana alimwandalia mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Felix Tshisekedi,  keki ya kuadhimisha kuzaliwa kwake na kutimiza miaka 57 ya kuzaliwa akiwa nchini  Tanzania.  Hili lilifanyika wakati wa dhifa ya kitaifa aliyomwandalia Ikulu jijini Dar es Salaam,  Juni 13, 2019.

Rais Magufuli akimtumbuiza mgeni wake Rais Tshisekedi akiwa na wanamuziki Christian Bella, King Kikii na Christina Shusho  (kushoto) baada ya kumpa keki ya ‘bethidei’ .

Comments are closed.