Harmo Ashikilia Roho ya Sarah

WAKATI wengine roho zao zikishikiliwa na Mwenyezi Mungu, kwa upande wake mpenzi wa staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmo’, Sarah Michelotti yeye ya kwake imeshikiliwa na jamaa huyo.

 

Akizungumza na OVER ZE WEEKEND, Sarah amesema kutoka moyoni mwake kila tone la penzi lake la dhati lipo kwa jamaa huyo kiasi ambacho anaamini yeye ndiye ameu-shikilia moyo.

 

“Kiu-kweli ninam-penda sana na ninama-anisha. Kuna wakati najiona kabisa moyo wangu ameushikilia yeye,” amesema Sarah ambaye juzikati alicharuana na Nicole, yule video vixen anayedaiwa kuchepuka na Harmo.

 IMELDA MTEMA, DAR


Loading...

Toa comment