The House of Favourite Newspapers

Harmo: Nachora tattoo usoni

0

HARMONIZE au Konde Boy ni staa mkubwa wa muziki nchini Tanzania ambaye ameeleza uwezekano wa kuchora tattoo usoni.

Harmonize au Harmo anasema kuwa, yupo tayari kufanya hivyo kwani hiyo ni asili yake.

“Mimi ni Mmakonde halisi na bibi zangu huko wana chale hadi usoni na mimi kiukweli napenda sana tattoo ya usoni, inshallah 2022 huwenda nikaweka tattoo yangu ya kwanza usoni,” anasema Harmonize ambaye kwa sasa anafanya vizuri kunako Bongo Flevani.

STORI; MWANDISHI WETU, DAR

Leave A Reply