Harmo Rapa Kuachia Kichupa Kipya Soon, Yapo Pia Ya Kufahamu Kuhusu Ile Gari Na Zile Pesa – (Tweets)

Leo kwenye exclusive interview za Global TV Online, tulitembelewa na Harmo Rapa msanii chipukizi anaekuja kwa upepo mkali sana.

Kwenye interview yake, Harmo Rapa aliongelea na kufafanua baadhi ya tetesi zilizokuwa zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo ukweli juu ya gari alilolipost kwenye Instagram, video queen aliyesemekana ni mpenzi wake alafu akakamtosa na mengineyo.

Kikubwa na cha kwanza kabisa kufahamu ni kwamba Harmo Rapa yupo njiani kuachia kichupa kipya…

Hapa chini nimekusogezea tweets zote tulizokuwa tunafanya wakati wa interview ya Harmo Rapa, karibu uzipitie kisha kumbuka kwenda kusubscribe kwenye YouTube channel yetu ili uweze kuitazama full interview ya Harmo Rapa pale itakapo ruka hewani.

Hamorapa

Exclusive live tweets zilikuwa kama hivi:

Kuhusu zile pesa alizoonekana akizihesabu Instagram:

Na ile gari je?

Tunasikia kuwa yule video queen kwenye wimbo wak wa kwanza alikuwa mtu wako na badaae akakutosa… ni kweli?

Ujumbe kwa watu wasioamini kuwa unaweza kufanya muziki:

Usisahau kusubscribe kwenye YouTube channel yetu ili uweze kuitazama full interview ya Harmo Rapa pale itakapo ruka hewani.
Toa comment