The House of Favourite Newspapers

Harmonize Avujisha Sauti ya Rayvanny, Amlipua Mondi- Video

0

MWANAMUZIKI Harmonize, leo Alhamisi, Novemba 18, 2021 amerejea nchini akitokea Marekani alipokwenda kufanya shoo zake, baada ya kutua nchini amezungumza na wanahabari katika Uwanja wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere sambamba na kuachia ujumbe wa sauti (voice note) kati yake ya Rayvanny, miaka mitatu iliyopita.

Hata hivyo, amebainisha kuwa licha ya kuwa na ujumbe wa sauti huo muda mrefu, hakutaka kuuvujisha kwa sababu hakupenda kuwagombanisha Rayvanny na Diamond.

“Naonekana mbaya siku zote lakini kuna mambo mengi yameendelea hapo awali kwangu lakini nimeyanyamazia tu hizi ni voice za Rayvanny akizungumza vibaya kuhusu Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB) iliyo chini ya Diamond Platnumz.

Leave A Reply