The House of Favourite Newspapers

Harmonize Amtambulisha Country Boy, Ampa ‘Jina la Baba’ – Video

0

MSANII wa Bongo Fleva, Harmonize, amemtambulisha msanii Country Boy kama msanii mpya wa lebo yake ya Konde Gang ambayo inakuja kwa kasi.

 

Konde Gang wamesema kuwa Country Boy ambaye amepewa jina la ‘Father’ leo, Jumamosi, Septemba 11, 2020, ataachia nyimbo saba kwa wakati mmoja kwenye usiku uliopewa jina la Father Night.

Country Boy anakuwa msanii wa nne kutambulishwa kwenye lebo hiyo baada ya wasanii wengine wapya, Cheed na Killy, kusaini Konde Gang na kutambulishwa rasmi leo. Hawa wanaungana na msanii Ibrah pamoja na Harmonize mwenyewe kutengeneza lebo hiyo.

 

Leave A Reply