visa

Harmonize Amwaga Machozi Dar Live Kisa Diamond – Video

STAA wa Bongo Fleva kutoka Lebo ya WCB, Harmonize ‘Konde Boy’ amejikuta akimwaga machozi mbele ya jukwaa la Dar Live, Mbagala Zakhiem usiku wa kuamkia jana kwenye shoo ya Usiku wa Kusini ‘KusiNight’.

 

Hiyo ilikuwa ni baada ya sapraizi ya Staa Nasbu Abdul ‘ Diamond Platinumz’ kutoka kusikojulikana usiku wa manane na kuvamia jukwaa la wakati shoo hiyo ikiendelea.  Shuhudia mwenyewe.
Toa comment