The House of Favourite Newspapers
gunners X

Harmonize Athibitisha Kuachana na Bryana

0

Huenda penzi la mwanamuziki na C.E.O.wa KondeGang Harmonize na mpenzi wake mzungu raia wa Australia #Bryana limevunjika , kulingana na mfululizo wa post zake kupitia insta story yake.

Ikumbukwe kuwa penzi la Harmonize na Briana lilianza rasmi mwishoni mwa mwaka jana miezi kadhaa baada ya kuachana na aliyekua mpenzi wake #Kajala.

Mbali na hayo mwanamuziki huyo ametangaza kuachia wimbo wake mpya siku ya kesho unaitwa ‘Mwaka Wangu’

Leave A Reply