Harmonize Avutwa Mpaka Nigeria Kwenye ‘Body Work’ Video Mpya
The Beat Boss ‘Young D’ amempa shavu msanii toka lebo ya WCB, Harmonize kwenye wimbo wa Body Work akiwa na Reekado Banks.
Body Work inategemewa kuwa moja kati ya wimbo utakaopatikana kwenye Ep ya The Fusion itakayoingia sokoni mwaka huu.
Video imeongozwa na Wole Ogundare toka Blaze Production.
Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa, ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇
Android ===>GooglePlay
iOS ===>AppStore
Itazame hapa.
Comments are closed.