The House of Favourite Newspapers

HARMONIZE AWASILI KARIMJEE KUMUAGA RUGE

Msanii kutoka Lebo ya WCB, amefika katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam kuungana na waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media, Ruge Mutahaba ambaye anaagwa leo na kusafirishwa kwenda kwao Bukoba kuzikwa.

Comments are closed.