Harmonize, Lavalava Walivyompgawisha Rais Magufuli -Video
Wasanii wa Bongofleva wamekuwa mstari wa mbele kutoa burudani kwenye hafla ya chakula cha mchana cha wajumbe wa ccm ikulu chamwino. Hawa ni baadhi ya wasanii walionogesha hafla hiyo huku wajumbe wakiserebuka mpaka basi.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx