Harusi ya MC Pilipili: Tazama Baby Wake Akipambwa – Video

Unaambiwa hayawi hayawi, mwishowe yamekuwa! ile siku ya harusi ya mchekeshaji maarufu nchini, Emmanul mathias aka MC Pilipili na mchumba wake Philomena ‘Qute Mena’ anayefahamika imewadia na inafanyika leo Juni 29, katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

 

Global TV imefika saluni ambapo Philomena anarembwa kabla ya harusi yenyewe, na kujionea jinsi anavyoandaliwa. Tazama mwenyee hapa.

 

Loading...

Toa comment