The House of Favourite Newspapers

Harusi ya Shilole na Uchebe, Shuhudia Walivyoingia Ukumbini – Pichaz

Mahaursi wakiwa ukumbini tayari kwa sherehe.

STAA wa Muziki wa Mduara Bongo, Zuwena Mohammed maarufu kama Shilole au Shishi Bay usiku wa kuamkia leo amefanya sherehe ya harusi baada ya kufunga ndoa hivi karibuni na mpenzi wake, Uchebe. 

Maharusi wakiwa kwenye gari.

Sherehe hiyo iliyofanyika Hekima Garden ilihudhuriwa na mastaa kibao wakiwemo Jux na Vee Money, Dogo Janja na Uwoya na wengine kibao. Hapa nimekuwekea picha za maharusi hao wakiingia ukumbini.

Shilole akijiandaa kuingia ukumbini.

 

Maharusi wakijiandaa kuingia ukumbini.

 

Hao wakiseleleka kuelekea Ukumbini.

 

Wakiketi.

 

Shilole ndani ya shela.

 

PICHA NA MUSA MATEJA | GLOBAL TV ONLINE

Full Video Harusi ya Shilole na Uchebe Masaki Dar

Comments are closed.