Hatimaye Zuchu Avunja Ukimya Ku-date na Mondi

Msanii wa Bongo Fleva kutoka Lebo ya Wasafi (WCB), Zuhura Kopa ‘Zuchu’ amekanusha vikali skendo ya kutoka kimapenzi na Bosi wake Diamond Platnumz na wala haishi mjengoni kwa Mondi kama ambavyo watu wamekuwa wakisema.

 

Hii imekuja baada ya watu kuona ukaribu wao na jinsi ambavyo bosi wake huyo anavyotumia nguvu nyingi kumpromote tofauti na wasanii wengine alionao kwenye WCB.

Toa comment