WIKI ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imerejea. Mechi za wiki hii ni muhimu, kwani kuna timu kubwa zipo hatarini kutupwa nje.
DONDOO MUHIMU
1) Kama Liverpool itashinda dhidi ya PSG jijini Paris halafu Napoli ikashinda dhidi ya Crvena zvezda, PSG itakuwa imetupwa nje ya Ligi ya Mabingwa. Lakini PSG inaweza kupanda kileleni kama ikishinda katika mchezo huo wa Kundi C.
2) Katika Kundi B Tottenham inatakiwa ishinde dhidi ya Inter Milan, ikifungwa imetoka, na hata ikitoa sare itakuwa imeaga mashindano. Inter itajihakikishia nafasi kwa sare tu, Barcelona nao wanahitaji sare tu.
3) Real Madrid inahitaji ushindi dhidi ya AS Roma ili ijihakikishie nafasi ya kwanza Kundi G, lakini Roma imeshinda mechi saba mfululizo nyumbani kwenye Uefa, huku ikiruhusu kufungwa mabao mawili tu.
RATIBA
NOVEMBA 27
Athens v Ajax 2:55 Usiku
CSKA v V. Plzen 2:55 Usiku
AS Roma v R. Madrid 5:00 Usiku
Bayern v Benfica 5:00 Usiku
Juventus v Valencia 5:00 Usiku
Lyon v Man City 5:00 Usiku
Man U v Young Boys 5:00 Usiku
Hoffenheim v S. Donetsk 5:00 Usiku
NOVEMBA 28
Atletico v Monaco 2:55 Usiku
Lokomotiv v Galatasaray 2:55 Usiku
Dortmund v Brugge 5:00 Usiku
FC Porto v Schalke 5:00 Usiku
Napoli v Red Star 5:00 Usiku
PSG v Liverpool 5:00 Usiku
PSV v Barcelona 5:00 Usiku
Tottenham v Inter Milan 5:00 Usiku.
NYON, USwisi
Comments are closed.