The House of Favourite Newspapers
gunners X

Hawa Ndiyo Washindi Wa Tuzo za BET, Beyonce Kama Kawa

0

UTOAJI wa Tuzo za BET kwa mwaka huu hazikuwa za kitoto, ilikuwa ni full kufunikana kila kona kiasi kwamba wadau wengi wa muziki duniani wamezipongeza kwa kuwa tuzo za aina yake.

Mbali na utoaji wa tuzo hizo, pia watu walishuhudia marehemu wa kundi la Rap nchini Marekani, Prodigy akikumbukwa baada ya kufariki dunia mwanzoni mwa wiki iliyopita.

Hapa nimekuletea washindi wa tuzo hizo kwa mwaka huu.

Katika Kipengele cha Mwanamuziki Bora wa Kike wa RnB na Pop kulikuwa na wanamuziki kama

Beyonce (Mshindi)

Rihanna

Solange

Mary J. Bridge

Kehlani.

 

Pia kulikuwa na kipengele kingine cha Viewer’s Choice ambapo kulikuwa na ngoma kama

Fake Love – Drake

Sorry- Beyonce (Mshindi)

Black Beatles – Rae Sremmurd ft. Gucci Mane

24K Magic- Bruno Mars

Bad And Boujee- Migos feat Lil Uzi Vert

Starboy- The Weeknd feat Daft Punk

 

Ukiachana na kipengele hicho pia kulikuwa na kipengele cha  Mwanamuziki Bora wa Kiume ambapo kulikuwa na

Chris Brown

Bruno Mars (Mshindi)

The Weekend

Trey Songz

Usher

 

Kwenye kipengele cha Kundi Bora kulikuwa na makundi kama

A Tribe Called Quest

Fat Joe And Remy Ma

2 Chainz And Lil Wayne

Migos (Mshindi)

Rae Sremmurd

Ukiachana na kipengele hicho pia kulikuwa na kipengele cha Wimbo Mkali wa Kushirikiana ambapo kulikuwa na

Beyoncé featuring kendrick lamar – ‘freedom’

Chris Brown Featuring Gucci Mane And Usher – ‘Party’

Dj Khaled Featuring Beyoncé And Jay Z – ‘Shining’

Rae Sremmurd Featuring Gucci Mane – ‘Black Beatles’

‘No Problem’, Migos Featuring Lil Uzi Vert – ‘Bad And Boujee’, Chance The Rapper Ft 2 Chainz & Lil Wayne (Washindi)

 

Achana na hizo, pia kukawa na Kipengele cha Mwanamuziki Bora wa Hip Hop ambapo kulikuwa na wasanii kama

Chance The Rapper

Drake

Future

Big Sean

J.Cole

Kendrich Lamar (Mshindi)

 

Pia kukawa na kipengele cha Mwanamuziki Bora wa Kike. Hapo kulikuwa na wasanii kama

Nicki Minaj

Mary J. Bridge

Remy Ma (Mshindi)

Cardi B

Young M.A

 

Pia kukawa na kipengele cha Video Bora ya Mwaka ambapo kulikuwa na video kama

Big sean – ‘Bounce Back’

Migos featuring Lil Uzi Vert – ‘Bad and Boujee’

Solange – ‘Cranes In The Sky’

Beyoncé – ‘Sorry’

Bruno mars – ’24k Magic’ (Mshindi)

 

Halafu kukawa na Muongozaji Bora wa Video ambapo kulikuwa na waongozaji wa ngoma kama

Bruno Mars And Jonathan Lia – Bruno Mars, ‘That’s What I Like

Director x – Zayn Malik, ‘Like I Would’

Hype Williams – Tyga, ‘Gucci Snakes’ Featuring Desiigner

Benny Boom – Kehlani, ‘Crzy’

Kahlil Joseph And Beyoncé Knowles-Carter – Beyoncé, ‘Sorry’ (Mshindi)

 

Pia kukawa na Kipengele cha Mwanamuziki Chipukizi ambapo kulikuwa na wasanii kama

Cardi B

21 Savage

Khalid

Chance The Rapper (Mshindi)

Young M.A

 

Kwenye upande wa filamu kulikuwa na kipengele cha Muigizaji Bora wa Kike ambapo kulikuwa na waigizaji kama

Issa Rae

Taraji P. Henson (Mshindi)

Janelle Monae

Gabrielle Union

Viola Davis

 

Mbali na hicho pia kulikuwa na kipengele cha Muigizaji Bora wa Kiume ambapo kulikuwa na waigizaji kama

Denzel Washington

Donald Glover

Bryshere y. Gray

Omari Hardwick

Mahershala Ali (Mshindi)

 

Halafu pia kukawa na kipengele cha Ngoma Bora ya Gospel ambapo kulikuwa na ngoma kama

Fantasia feat Tye Tribbett – ‘I Made It’

Kirk Franklin Feat Sarah Reeves, Tasha Cobbs And Tamela Mann – ‘My World Needs You’

Cece Winans – ‘Never Have To Be Alone’

Tamela Mann – ‘God Provides’

Lecrae – ‘Can’t Stop Me Now (Destination)’ (Mshindi)

 

Pia kukawa na kipengele cha Filamu Bora

The Birth Of A Nation

Hidden Figures (Mshindi)

Get Out

Fences

Moonlight

 

Mwanamichezo Bora wa Kike

Venus Williams

Simone Biles

Skylar Diggins

Gabby Douglas

Serena Williams (Mshindi)

 

Mwanamichezo Bora wa Kiume

LeBron James

Russell Westbrook

Stephen Curry (Mshindi)

Odell Beckham jr.

Cam Newton.

 

Albamu Bora ya Mwaka

‘4 Your Eyez Only’ – J. Cole

‘A Seat At The Table’ – Solange

‘Coloring Book’ – Chance The Rapper

‘Lemonade’ – Beyoncé (Mshindi)

’24k Magic’ – Bruno Mars

Mwanamuziki Bora wa Afrika

Tekno

Wizkid (Mshindi)

Davido

AKA

Stonebwoy

Nasty C

Babes Wodumo

 

 

Leave A Reply