The House of Favourite Newspapers

HAYA Nyo Madhara ya Kutumia SMARTPHONE Gizani – Video

PALE taa zinapokuwa zimezimwa usiku, usiitumie simu yako ya mkononi (smart phone). Huo ni ushauri uliotolewa na taasisi moja ya uchunguzi.

Kutumia simu kabla ya kulala huku taa zinapokuwa zimezimwa, kunaweza kusababisha matatizo. Hivi sasa idadi ya wagonjwa wenye kuanzia umri wa miaka 30 hadi 40 wanatafuta matibabu kutokana na matumizi ya simu za mkononi (wakati wa giza).

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Comments are closed.