Hemed Phd Alivyomrarua Lulu Diva Kisa Shepu – Video
Msanii wa Sanaa ya Uigizaji nchini, Hemed Suleiman @hemedyphd amesema kuwa hana tatizo lolote na @luludivatz na kuweka wazi kuwa bado hajakidhi kwenye viwango vya kuwa mwanamuziki bora wa kike.
Hemed amefunguka hayo kupitia Global TV, hakikisha unafuatilia kupitia YouTube ya Global TV