The House of Favourite Newspapers

Heri Muziki ft. Mwana FA & Mr. Paul – Waambie (Official Audio)


Msanii wa muziki wa Bongo FLeva, Heri Muziki ameachia audio ya ngoma yake mpya ya ‘Waambie’ ambao amewashirikisha wakongwe wa muziki nchini Tanzania Mwana FA na Mr Paul. Mdundo umetengenezwa na Abbah kutoka Studio za Instincts Records

Comments are closed.