The House of Favourite Newspapers

ads

Heri ya Kuzaliwa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan Tunakuombea Maisha Marefu

0

 

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.

Siku kama ya leo, Januari 27, 1960, Rais Samia Suluhu Hassan alizaliwa. Kampuni ya Global Publishers, uongozi na wafanyakazi wote, wanakutakia heri ya siku ya kuzaliwa. Tunakuombea Mungu akulinde, akupe afya njema na kuendelea kuwatumikia Watanzania katika kipindi cha uongozi wako.

Leave A Reply