The House of Favourite Newspapers

Hii ni Yako Mwamba wa Kubashiri, Meridianbet Wameongeza Odds Zao

0

EPL itasimama kupisha michuano ya FA ambayo timu za Uingereza zitakutana katika mbio za kumtafuta bingwa, huku Ligi kadhaa zikiendelea kama kawaida pia Serie A na La Liga moto utaendelea kama kawaida. Pata Odds Nono kwenye kila mechi ukibashiri na Meridianbet.

Odds Nono za Meridianbet Wikiendi Hii?

Jumamosi mapema sana ni Tottenham dhidi ya Portmouth haitakuwa rahisi kwa timu zote huku ukibeti na Meridianbet mechi hii imepewa ODDS Nono Zaidi. Tottenham ana 1.12 huku Portmouth ana 16.66 kila timu ishinde.

Liverpool ambao wamekuwa hawana muendelezo mzuri wa matokeo kwenye mechi zao za hivi karibuni watakutana na Wolves ambao wanasifika kwa mpira wenye kasi kubwa, kwani wana wachezaji wenye uwezo mzuri wa kukaa na mpira na kuondoka na Kijiji kama Adama Traore. Mechi hii sio ya kuiacha mtu wangu huenda ikakupa tabasamu la kufurahia wikiendi yako.

Kule kwenye Serie A utashuhudia mtanange kati ya Juventus dhidi ya Udinese ambao kwa upande mmoja kila mmoja anazihitaji alama tatu ili kujiweka sehemu nzuri Zaidi ya msimamo. ODDS Nono ziko hivi Udinese amepewa 4.41 ashinde huku Sare ikiwa na 3.62. Unaweza kubashiri Mubashara na Meridianbet Bonyeza hapa.

Lakini pia Meridianbet wana Ofa kwaajili yako leo ni Villareal vs Real Madrid, weka pesa katika akaunti yako kisha tengeneza mkeka wako wenye angalau mechi moja kutoka Ligi ya La Liga na upate nafasi ya kushinda Bonasi ya TZS 25,000/= kutoka Meridianbet. Ofa hii inaisha Januari 8, 2023.

Jumapili ya Moto sana |Big Match Man City vs Chelsea

Ni kama vile Chelsea ana bahati mbaya au tuseme ni bahati nzuri kwake ili alipize kisasi kwa Manchester City. Alhamisi kwenye EPL alipoteza dhidi ya City kwa bao 1-0 sasa ni mechi ya FA, Jeshi la Graham Potter kuwapa furaha mashabiki wa The Blues? Au ni Jack Grealish na Riyard Mahrez kupeleka furaha kwa mashabiki wa City? Tembelea duka la kubashiri uoneshe umwamba wa kubashiri.

Hispania Laliga kumenoga unaweza kujikuta unapata bonasi kutoka meridianbet, ni Atletico Madrid vs Barcelona bonge moja la mechi hii timu yeyote inaweza kutoa ushindi. Sevilla atakipiga Getafe huku Almeria kukipiga na Sociedad. Pata Odds Nono hapa.

Kumalizia wikiendi yako hakikisha tu mkeka wako umeshiba timu za kutosha kuna mechi myimhi za Serie A ambazo kule kupata furaha ni rahisi sana Milan atakuwa na kibarua dhidi ya kikosi cha kocha mwenye vituko na mbwembwe kibao Jose Mourinho.

Lazio vs Empoli na Sampdoria aliyepo nafasi ya 18 atakiwasha na Napoli anayeongoza ligi kwa alama 41.

Leave A Reply