HISTORIA YA OPERATION ENTEBBE ILIVYOTIKISA – VIDEO

Siku ya tarehe 27 June 1976, ilianza kama siku nyingine yeyote ndani ya uwanja wa ndege wa kimataifa katika mji mkuu wa nchi ya Israel, TEL AVIV, Uwanja ujulikanao kama Ben Gurion International Airport.

 

Moja ya ndege ambayo ilikuwa inafanya safari yake katika siku ya leo ilikuwa ni ndege ya kampuni ya Air France Flight 139 ambayo ni ndege aina ya Airbus A300B4-203 yenye namba za usajili mkiani F-BVGG.

HISTORIA YA OPERATION ENTEBBE (Part 1)

HISTORIA YA OPERATION ENTEBBE (Part 1)


Loading...

Toa comment