The House of Favourite Newspapers

Hivi Ndivyo Manara Alivyoondoka Simba

0

ALIYEKUWA msemaji wa Klabu ya Simba, Haji Manara ameandika haya muda mchache baada ya Simba kutoa barua kuwa wameachana nae rasmi:

Kila tunapomaliza Mechi yoyote ile ya Simba,neno langu la kwanza baada ya matokeo yoyote yale ni Alhamdulillah.

 

Kwa wanaofuatilia page hii wanatambua hilo. Kwangu neno hili ndio Msamiati nnauotumia mara nyingi zaidi na hufanya hv kwa kila jambo, liwe jema au baya. Yes neno langu ni moja tu.

AL-HAMDULILLAH

Leave A Reply