Hivi Ndivyo Serengeti Boys Walivyotua Jijini Dar Jana
Kikosi cha vijana wa timu ya taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’ kimerejea kutoka nchini Gabon ambako kilikua kikishiri michuano ya AFCON ya vijana ambayo timu hiyo imeondoshwa katika michuano hiyo kwa kufungwa goli 1-0 dhidi ya Niger.
Baada ya kurejea kikosi hicho Waziri mwenye zamana ya michezo, Harrison Mwakyembe alifika uwanja wa ndege ili kuwapokea vijana hao.
(PICHA: MUSA MATEJA/GPL)