The House of Favourite Newspapers

HIZI NDO NGOMA 5 ZINAZOMKUNA LULU

KILA mcheza filamu huwa ana ngoma zake kutoka kwa wanamuziki mbalimbali ambazo anazipenda na kila akikaa anapenda kuzisikiliza, wengine maudhui ndio yanawavutia, wengine huvutiwa na midundo kwa maana ya kucheza, lakini wapo wanaopenda kusikiliza tu kwani zipo ambazo si za kucheza, ni tulivu.

 

Msanii wa filamu za Kibongo ambaye aliwahi kusikika kuwa anapenda sana muziki na kwamba iwapo ataamua kuimba atafanya muziki wa Gospel, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amezitaja ngoma tano za wanamuziki mbalimbali anazozipenda alipokuwa akihojiwa na Mtangazaji wa Radio Times FM, Omary Tambwe ‘Lil Ommy’.

 

Ngoma hizo ni Mbali Sana wa Gospel, ulioimbwa na mwanamuziki, Beda Andrew ambapo ametoa sababu ya kuupenda wimbo huo kuwa ni maudhui mazuri yaliyopangiliwa na mwanamuziki huyo.

 

Ngoma nyingine ni Free wa mwanamuziki kutoka Kenya, Nyashinski ambao una maudhui anayoyapenda Lulu. Mwenyewe anasema anaukubali sana wimbo huo ambao baadhi ya mistari ni;

Can I be free?

Relax and take it easy

We only get one life

So live your life

Oh oh, fire you know am right (yeah)

Welcome to paradise (yeah)

Girl don’t just fantasize (yeah)

Light up and free your mind

Ata ka hunipendi unajua ni nani beast hapa

Na level za udeadly hukuwa unajua zinaexist ata

Na kuombea daily ufike mahali una aim

Before nidedi nijenge na V8 Baba

Before they play me nionyeshe mahali snakes (mahali snakes wako)

Surgery hutaona ma-mistakes (Inaitwa surgery)

Unaeza acha ku-complain (Acha ku-complain)

Usiwahi danganya side ye ni main.

Ngoma nyingine iliyomkuna ni Kutchua ya mwan-amuziki Ya Levis Dalwear, ni ngoma ya lugha ya Kifaransa ambayo Lulu anasema haijui lugha hiyo lakini anaiimba yote kwani ameikariri baada ya kuipenda.

Motigbana ni ngoma nyingine anayoi-penda Lulu ambayo imeimbwa na mwan-amuziki, Baddosneh. Anasema anaipenda tu na anaamini Wanigeria wanaiimba vizuri kwani yeye ni shabiki wa nyimbo zao.

Ngoma ya mwisho ya Lulu I Dun Care wa mwanamuziki Simi kutoka nchini Nigeria.

Baadhi ya mistari ya ngoma hiyo ni…

I call you baby,

Some people don’t know I call you baby

Hmm, they say I’m crazy

No be my fault o you drive me crazy

E get as e dey do me

I carry your matter for my head

(for my head o)

Oya fà mi sà dò rè

Baby mi shò kolorè

I gat know say am feeling you

I go follow you as you take follow me

And they gat know say na me and you

I wanna show you off shòlewà follow me

L nor be shy guy oh no

You are the one that I like

And anybody wey mind o

Watin them they find o?

HAMIDA HASSAN | Ijumaa Wikienda

VIDEO: WAZIRI WA JK AFUNGA NDOA NA KABINTI KABICHI

Comments are closed.