The House of Favourite Newspapers

Hoteli ya Villa de Coco Yaungua Kwa Moto, Zanzibar

0

Hoteli ya Villa de Coco iliyopo Jambiani, Zanzibar imeungua kwa moto usiku wa kuamkia hii leo Novemba 20, 2021, na taarifa zinaeleza kwamba moto huo umeendelea kuunguza Cobe Hoteli na ukainga Fun Beach na sasa umefika maeneo ya barabarani kwa sababu ya upepo.

SHANGWE la MASHABIKI wa YANGA na NAMUNGO Nje ya UWANJA USIPIME…

Leave A Reply