Husna: Niacheni Nile Makombo Yangu Mwenyewe!

Stori: Imelda Mtema | RISASI JUMAMOSI | Dar es Salaam

MREMBO aliyewahi kunyakuwa Taji la  Miss Kinondoni 2011, Husna Maulid amewacharukia watu wanaomsema kwamba anakula makombo ya wasanii wenzake kwa mchumba wake Mwami Rajabu, ambaye ni raia wa Kongo kwa kuwataka wamuache kama alivyo.

Mchumba wa Mrembo Husna Maulid, Mwami Rajabu, ambaye ni raia wa Kongo

Husna alisema amekuwa akipigwa sana vijembe kwenye uhusiano wake huo lakini hakuna hata moja analolisikiliza na kuliweka kichwani kwani  ameziba masikio hasikii kitu chochote kwa kuwa mpenzi wake huyo ndiyo chaguo lake.

Husna Maulid katika pozi

“Kama ni makombo nakula ni mimi, waniache. Kuna mambo mengi sana nimesikia kuhusiana na mahusiano yetu na Mwami, lakini mimi ni mwanamke shupavu naangalia zaidi moyo wangu na si kitu kingine chochote,” alisema Husna.

Save

Shinda Nyumba Awamu ya Pili Yatikisa Jiji la Dar es Salaam

Save


Loading...

Toa comment