HUYU HAPA NINJA LUGOLA AKIIZUNGUMZIA NDEGE MPYA – VIDEO

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amempongeza Rais Magufuli kwa kuwezesha kuwasili kwa ndege mpya nyingine ya sita ya Airbus A200-300 ambayo imewasili mapema leo katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwl Julius Nyerere majira ya saa tisa alasiri.

Waziri Lugola amesema ujio wa ndege hiyo ni neema kwa watanzania kwa kiasi kikubwa ndege zilizonunuliwa nchini zitasaidia kuongezeka kwa pato la Taifa na kuwasaidia watanzania kuondokana na umaskini.

Loading...

Toa comment