The House of Favourite Newspapers

Huyu Ndo Demu wa Staa Anayependa Kukaa Uchi!

LONDON, England: MR EMBO Sarah Kohan ambaye ni mpenzi wa straika wa West Ham, Javier Hernandez ‘Chicharito’, amepiga picha akiwa uchi huku akiinadi mimba yake mpya.

 

Sarah ameshaeleza mara kadhaa kwamba kukaa uchi ndiyo furaha yake kubwa maishani. Sarah, 24, mwenye wafuasi milioni 1.3 kwenye Insta, ame­kuwa akitoka na Chicharito tangu mwaka jana, na tayari ameshanasa ujauzito am­bao unaelezwa ni wa mwezi mmoja.

Raia huyo wa Australia ni msomi akiwa ni mhitimu wa Shahada ya Sheria kutoka Chuo Kikuu cha Harvard. Sarah amekuwa akisisi­tiza kwamba kuwa uchi ni moja ya vitu anavyopen­da zaidi maishani.

Hernandez am­baye ameifungia West Ham mabao matano katika mich­ezo 16 aliyoichezea timu hiyo msimu huu, inaelezwa yupo mbioni kuondoka klabuni hapo mwezi huu huku Barcelona ikitajwa kumhitaji.

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Comments are closed.