The House of Favourite Newspapers

Huyu Ndo Prodyuza Aliyetengeneza Zimbabwe ya ROMA

0
Joff Master.

UKISIKILIZA ngoma mpya ya mkali wa HipHop Bongo, ROMA Mkatoliki, aliyoiachia mwezi uliopita, Zimbabwe lazima utatamani kumfahamu mtayarishaji wa ngoma hiyo ambayo inaendelea kukimbiza kwenye game.

Kazi ya Global TV Online ni kukusogezea kila unachopaswa kukifahamu kwenye ulimwengu wa burudani, leo nimekutanisha na prodyuza aliyeisuka ngoma hiyo mwanzo mwisho, si mwingine bali ni Joff Master Manouver ambaye ni wachache wanamfahamu kwa sura na kazi zake.

Hapa nimekuwekea Exclusive Interview ya Joff na Global TV Online, ambaye amesimulia mambo mengi kuhusu kazi yake, na jinsi alivyopasua kichwa wakati wa production ya ngoma hiyo ya ROMA.

TAZAMA VIDEO JOFF AKIANIKA ZIMBAWE ILIVYOMTESA

Leave A Reply