The House of Favourite Newspapers

Ibaada ya Kumuombea Rais Magufuli yafanyika London, Uingereza

0

Magufuli aombewa london (1)Picha maalumu ya rais Magufuli (chini) ni sehemu ya wanakwaya.
Magufuli aombewa london (2)Askofu mkuu wa kanisa la CCBC, Dk. Sarpong kutoka Ghana na Pastor Bob kutoka Kenya wakiongoza Ibada hiyo.
Magufuli aombewa london (3)Mgeni rasmi Naibu Balozi , Msafiri Marwa akitoa neno la Shukurani kwa waandaaji na wahudhuriaji.Magufuli aombewa london (4)Baadhi ya Watanzania, wahamasishaji wakiwa na bendela ya Tanzania.Magufuli aombewa london (8)Magufuli aombewa london (7)Sehemu ya wahudhuriaji.

HAPA KAZI TU! Waafrika waishio jijini London, Uingereza, Desemba,  28 mwaka huu walifanya maombi maalumu ya kumuombea Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli.

Magufuli aombewa london (6)Dhumuni la maombi hayo ni kukubali kasi na utendaji wa rais Magufuli pamoja na kuiombea Afrika nzima kupata viongozi wenye hulka kama yake.

Magufuli aombewa london (5)Maombi hayo yaliyoandaliwa na Wachungaji wa Kanisa la Calvary Charismatic Baptist Swahili Service jijini huo yalifanyika katika kanisa hilo lililopo 119 East India, Dock Road Poplar London EI46DE, huku mgeni rasmi akiwa ni Naibu Balozi wa Tanzania nchini humo, Msafiri Marwa.

Na Gabriel Ng’osha- GPL

Leave A Reply