The House of Favourite Newspapers

Ibada ya Kuaga Mwili wa Akwilina Kanisa la Mt. Theresia, Rombo

Mwili wa marehemu baada ya kufikishwa kanisani.

Mwili wa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwilini tayari umeshawasili katika Kanisa la Mtakatifu Theresia Parokia ya Olele Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro na ibada ya kuaga mwili wa marehemu inaendelea.

Ibada ikiendelea.

 

Baada ya ibada hiyo ndugu, jamaa, viongozi wa serikali, siasa na madhehebu, watu wa kada mbalimbali watatoa heshima za mwisho na kisha mwili kupelekwa nyumbani kwao na marehemu kwa ajili ya mazishi.

Wazazi wa marehemu wakiwa kwenye ibada.

 

Familia ya marehemu wakiwa ibadani.

 

UTALIA: Kuagwa Kwa Akwilina, Mama Mzazi Aishiwa Nguvu

 

Comments are closed.