The House of Favourite Newspapers

Idris: Nikiwa Lokesheni Nabadilika Mpaka Moyo

0

MCHEKESHAJI anayefanya poa Bongo, Idris Sultan amefunguka kuwa anapokuwa lokesheni kwa ajili ya kazi hujikuta anabadilika mpaka moyo wake kwa sababu anakuwa hataki utani wa jambo lolote lile na mtu anayemletea utani wanaweza kuzinguana kama hawajawahi kufahamiana.

Akipiga stori mbili-tatu na Over Ze Weekend, Idris alisema kuwa wasanii wanapokuwa lokesheni, mambo mengi hutokea ikiwemo kutaniana lakini kwa upande wake ingawa ni mchekeshaji na mpenda utani lakini si lokesheni.

“Unajua ninapokuwa lokesheni ndiyo nakuwa natengeneza mkate wangu, sasa mtu anaponiletea utani kwenye mkate wangu hapo hatuwezi kuelewana na kiukweli lokesheni huwa sihitaji masihara kabisa,” alisema

Boniphace Ngumije

Leave A Reply