IFTAR ya HARMONIZE: DIAMOND, MBOSSO, RAYVANNY, JOKATE NDANI! – VIDEO
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize, kutoka WCB Wasafi, jana Alhamisi, Mei 23, 2019 aliandaa hafla ya kufuturisha katika Ukumbi wa Serena Hotel.
Hafla hiyo imehudhuriwa na mastaa wenzake wakiwemo wasanii wote wa WCB wakiongozwa na Diamond Platnumz, lakini pia viongozi wa serikali akiwemo Mkuu wa wilaya ya Ilala, Sophia Mjema, Mkuu wa wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo, Katibu Mkuu wa Basata, Godfrey Mngereza na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye na wengine.
Comments are closed.