Ijumaa Figa Bomba Girl 2017: Sanchi, Wema Watifuana Kwa Kura

Jane Ramoy ‘Sanchi’

HALI imezidi kuwa tete ambapo wiki hii modo, Sanchi ametifuana vilivyo na Wema Sepetu. Kwa mujibu wa kura mlizopiga zimepelekea wawili hao kutifuana nafasi za juu wakifuatiwa na Masogange na Sasha.

Wema Sepetu

Je, ungependa nani aibuke mshindi kati ya hiyo tano bora iliopo?

Jibu ni rahisi, Chukua simu yako, nenda kwenye sehemu ya kuandikia SMS kisha andika neno SHEPU acha nafasi kisha andika namba ya mshiriki unayetaka abaki na utume kwenda namba 15542.

Agness Gerald, maarufu Masogange

 

Hii ni kwa wateja wa VODACOM pekee.

Aidha, wadada hao unaowaona wana mapicha makali sana ambayo unaweza kuyaona kwa uzuri kupitia ukurasa wetu wa Facebook kwa jina la GAZETI LA IJUMAA. Tembelea na u-like!

 


Stori zinazo husiana na ulizosoma

Toa comment