IMEVUJA: VIDEO YA DIAMOND NA MOBETO WAKIJIACHIA KITANDANI

IMEVUJA! Video inayomuonyesha msanii maarufu wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Paltnumz’ na mzazi mwenzake, Hamisa Mobetto imesambaa mitandaoni ikiwaonyesha wawili hao wakipeana mahaba mazito kitandani.

 

Hii imetokea ikiwa ni wiki mbili tangu wawili hao walipokutana live kwenye Tuzo za SZIFF pale Mliamni City Dar ambapo Diamond alimkumbatia mwanamama huyo na kupigana mabusu motomoto mbele ya umati uliofika kushuhudia tukio la tuzo hizo.

 

Katika video inayosambaa inawaonyesha wawili hao wakiwa kitandani wakijiachia, huku mashabiki mitandaoni wakieleza kwamba huenda wamerudiana ili kulea mtoto wao.

Tazama video hiyo hapa.

Mondi & Mobetto ndani ya Madale.

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers) on

Diamond kaamua leo.

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers) on

Loading...


Stori zinazo husiana na ulizosoma

Toa comment