The House of Favourite Newspapers
gunners X

Inasikitisha! Mtoto Miaka 14 ‘Apoteza Macho’ – Video

0

KUPITIA kijana Ali unaweza kuamini misemo mbalimbali inayotumiwa na baadhi ya watu “Ukiumwa na ukapata nafasi ya kuwaona wanaoumwa basi utapona bila dawa, ” Ukilia ukiona wanaolia utanyamaza bila kubembelezwa.”

 

Ali ni mtoto Mwenye umri wa miaka 14 Mkazi wa Mwalusembe ambaye kwa sasa anasoma darasa la sita huku akiwa amepoteza uwezo wa kuona (kipofu) baada ya kuugua kansa.

 

Kutokana na hali aliyonayo Ali anaendelea kusoma bila kuandika chochote darani kazi yake ni kumsikiliza tu Mwalimu kama anavyozungumza kwenye hiyo video.

 

KUTOA NI MOYO NA SI UTAJIRI

 

Leave A Reply