The House of Favourite Newspapers
gunners X

LIVE: INASIKITISHA SANA! Mjane Aliyebomolewa Nyumba Dar, Amlilia Lukuvi

0

Baadhi ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, nyumba zao zimekumbwa na bomoabomoa kupisha upanuzi wa barabara, hali ambayo imesababisha kukosa makazi yao. 

Global TV imefanya mazungumzo na mama Jeny mkazi wa Mbezi jijini Dar ambaye ni mjane aliyebomolewa nyumba yake ya ghora na kumfanya aishi kwenye kibanda kwa kuhangaika na kurudia maisha ya kimaskini amemlilia Waziri wa Ardhi, William Lukuvi amsaidie kupata haki yake.

Mama huyu amefunguka mengi kuhusu alitaabika kutafuta pesa za kujenga nyumba hiyo na mumewe ambaye ameshatangulia mbele za haki, namna ambavyo nyumba yake imebomolewa na mateso anayoyapata kwa sasa huku akiiomba serikali imsaidie kwa namna yeyote.

Usikose kutazama kipindi hicho maalum cha kusisimua saa 12:30 leo Jioni.

Subscribe sasa  ===> Global TV Online

Leave A Reply